Kwa kuwa Yanga wanayaona mashindano ya shirikisho ni madogo Sana kwao, Kwa Sasa kama pointi Yanga walizopata kwa kuingia fainali ya Kombe la shirikisho Afrika zikitolewa, Yanga itabakiwa na point ngapi?
Bila ya kuingia fainali za shirikisho Yanga ingekuwa hapo ilipo?
Kama nilivyosema hapo juu hii simba itaendelea kuchezea vichapo mpaka akili za mashabiki wa simba ziamke kwamba muhindi na mpira wapi na wapi.
Wachezaji wote wa Simba usajili wao ni million 100 yaani mwaka huu Simba wametumia million 100 kusajili maana sio Kwa hii mizigo waliyoileta msimu huu...
Rasmi, Simba imeangukia Kombe la Shirikisho barani Africa ambalo wenzao Yanga walifika Fainali na kuukosa ubingwa kwa kanuni!
Sasa ni kipimo kwa Simba kutuonyesha namna kombe ilo lilivyo jepesi kama walivyokuwa wakiwabeza Yanga ambao walikwenda mpaka Fainali, tunawasubilia kuwaona namna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.