Wawakilishi pekee wa Tanzania na Afrika Mashariki katika mashindano ya shule za Sekondari Afrika "Fountain Gate Dodoma High School" wamefanikiwa kushinda mchezo wa Fainali dhidi ya timu ya wasichana ya "Ecole Omar IBN Khatab" kutoka Morocco kwa magoli 3-0.
Timu ya Fountain Gate imetwaa taji...