faini guest house

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    KERO Faini isiyokuwa na uhalisia wa malipo husika inayotozwa kwenye nyumba za kulala wageni

    Siku hizi kumekuwa na kasumba kwa baadhi ya maafisa biashara wa Halmashauri kwenda kwenye nyumba za kulaza wageni wakisema ni ukaguzi wa mchana. Hivi ikitokea mteja kaacha hata begi akatoka akiwa bado hajajiandikisha unatakiwa ulipe faini. Hiyo faini sasa unaweza kuta ni zaidi ya 250% ya malipo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…