Wakuu, naaamini humu kutakuwa na wajuzi watakaoweza kujibu swali langu hili.
Kama umegonga Twiga kama inavyoonekana hapo pichani, faini yake huwa ni shingapi?
Hii picha nimekutana nayo huko X na imenipa maswali mengi.
Na hiyo hela ukishalipa inaenda kwa familia ya Twiga kama fidia au inaenda...
Watu wa Halmshauri wamekuwa wakizunguka kwenye biashara tofauti na wakipiga faini na ukishindwa kulipa wanakuweka ndani.
Je, Sheria inasemaje kuhusu hili?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.