Wakuu, naaamini humu kutakuwa na wajuzi watakaoweza kujibu swali langu hili.
Kama umegonga Twiga kama inavyoonekana hapo pichani, faini yake huwa ni shingapi?
Hii picha nimekutana nayo huko X na imenipa maswali mengi.
Na hiyo hela ukishalipa inaenda kwa familia ya Twiga kama fidia au inaenda...