Kenya imeanza mazungumzo na Umoja wa falme za kiarabu ( UAE) kwa ajili ya kupata fedha za kukamilisha ujenzi wa reli ya kisasa ( SGR).
Kenya imeamua kuigeukia UAE baada ya China iliyokuwa ikitoa fedha kwa ajili ya mradi huo kuamua kujitoa.
Ujenzi wa reli ya kisasa inayokusudiwa kuunganisha...
Unaweza kuniunganisha na agent nikapata kazi ufundi umeme Qatar au Oman au falme za kiarabu mshahara wa miezi miwili nimalipo ya agant passport nitafuta Kwa gharama zangu WhatsApp me 0621264212
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Dkt. Tulia Ackson, leo tarehe 17 Septemba 2024, amekutana na kufanya mazungumzo na Spika wa Bunge la Umoja wa Falme za Kiarabu, Saqr Ghobash, katika Ofisi za Bunge hilo zilizopo Abu Dhabi.
Katika...
My take :Waarabu pia wamechoshwa na ugaidi wa Hamas.
....
https://www.middleeastmonitor.com/20240321-saudi-uae-among-states-fuelling-israels-offensive-on-gaza-report-finds/
Hii ni baada ya hayo magaidi ya kidini kupigwa na Marekani, sasa kila mmoja anajtokeza kuwalaani.....
The United Arab Emirates (UAE) has voiced serious concerns regarding the impact of recent attacks by Houthi militants on shipping vessels in the Red Sea, deeming them an "unacceptable threat"...
DAR ES SALAAM: Mamlaka ya Usafiri wa Anga nchini (TCAA) imesema hakuna utoroshwaji wa wanyama pori kwenda Falme za Kiarabu kama taarifa za upotoshwaji zinavyodai.
Mkurugenzi Mkuu wa TCAA, Hamza Johari amesema katika taarifa kwa vyombo vya habari leo kuwa kama Mamlaka inayohusika na kutoa vibali...
Wakizungumza leo, Agosti 21 baada ya kuripoti kituoni hapo, Mdude amesisitiza kuwa hawatarajii kurudi tena kituoni hapo hadi jeshi hilo litakapokamilisha upelelezi na kesi yao kwenda mahamakani akieleza kuwa wataendelea na shughuli zao ndani na nje ya Mkoa.
“Tumeambiwa kurudi tena Polisi Agosti...
Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), Mhe. Lt. Jen. (Mst) Yacoub Hassan Mohamed amewasilisha Hati za Utambulisho kwa Rais wa Umoja wa Falme za Kiarabu, Mhe. Sheikh Mohammed Bin Zayed Al Nahyan katika Ikulu ya nchi hiyo iliyopo Mjini Abu Dhabi...
Nimejaribu kuangalia orodha ya washirika wetu wa maendeleo ama development partners toka tupate uhuru waarabu wa Dubai ama falme za kiarabu hawapo.
Nimejaribu kutafiti ni mradi gani wa maendeleo hata choo cha shule ambacho tumewahi kujengewa na waarabu wa Dubai nimekosa.
Kwenye ulimwengu huu...
Tanzania yasaini mikataba minne na Falme za Kiarabu ndani ya mwaka mmoja.
1. Kuendeleza uwanja wa ndege wa KIA
2. Ushirikiano na Posta Tanzania
3. Kuendeleza misitu yote nchini na TFS
4. DP World na TPA
Mwezi February mwaka huu, Serikali ya Tanzania ilisaini hati ya makubaliano (MOU) na Serikali ya Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) kwa ajili ya kutusaidia kuendeleza misitu yote nchini, inayosimamiwa na Wakala wa misitu (TFS). Yani waarabu wanaoishi Jangwani wanatusaidia kuendeleza misitu. Kwanini...
Wakati tukijadili kuhusu DP World na TPA, tusisahau kwamba kampuni nyingine ya falme za kiarabu ya UAE inayoitwa MASDAR ilisaini mkataba wa ushirikiano na kuzalisha umeme na TANESCO.
Tusisahau pia kwamba Shirika la Posta limeanzisha ushirikiano na kampuni ya posta ya Falme za Kiarabu.
Sio hilo...
Tanzania imeingia mkataba na Falme za Kiarabu kuzalisha Umeme jadilifu megawatt 2000.
Kukamilika kwa miradi hii kutapelekea Bei ya Umeme kupungua sana.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika mazungumzo na Mhe. Maitha Al Shamsi Waziri wa Nchi kutoka Umoja wa Falme za Kiarabu UAE Ikulu Jijini Dodoma tarehe 31 Machi, 2022. Huu ni mwendelezo wa ziara ya Mhe. Rais Samia aliyoifanya katika Falme za Kiarabu UAE...
Leo Jumamosi Februari 26, 2022 huko Dubai kwenye maonyesho makubwa ya Kimataifa ya Biashara na Uwekezaji ya Dubai Expo 2020 ni Siku Maalum ya Tanzania (Tanzania Day) kuonyesha fursa zake za uwekezaji, biashara, utalii n.k. ambapo Rais Samia Suluhu Hassan atakuwa Mgeni rasmi leo Jumamosi...
Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) utaondoa marufuku iliyowekwa kutokana na Kirusi cha Corona aina ya Omicron kwa Wasafiri waliotembelea Nchi 12 za Afrika ikiwemo Tanzania muda mfupi kabla ya kusafiri. Marufuku hiyo itaondolewa kuanzia Januari 29. 2022
Mataifa mengine ni Kenya, Afrika Kusini...
Mamlaka za Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) zimesema zitapiga marufuku Raia ambao hawajapata Chanjo dhidi ya COVID19 kusafiri nje. Waliopata chanjo kikamilifu wanatakiwa kupata ya nyongeza (Booster) ili kukidhi vigezo vya kusafiri
Hata hivyo, marufuku hiyo itakayoanza Januari 10 italegezwa...
Mamlaka ya Udhibiti wa Majanga ya Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) imetangaza kuzuia ndege kutoka Tanzania kutua kuanzia Desemba 25 kutokana na kuongezeka kwa visa vya Kirusi cha Omicron.
Nchi nyingine zilizozuiwa ni Kenya, Ethiopia na Nigeria. Hata hivyo, Ndege za UAE zitaendelea kupeleka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.