Niende moja kwa moja kwenye mada.....
Basi miezi mitatu iliyopita nilikuwa nimechelewa kurudi nyumbani, yote sababu nilipitia sehemu kwaajili ya kupata moja baridi, nilivyofika bar nikaagiza kinywaji, nikakipiga Na kuanza kurudi home hapo ni kama saa tatu, hivi usiku nikiwa zangu kwa miguu sina...