Inawezekana kutoboa ila unahitaji nguvu kubwa sana mana unakuwa huna backups kutoka kwa mjomba shangazi wala mamkubwa.
Kuna wengine wanapewa mitaji na ndugu
Wanapewa connection na ndugu
Hata wakikwama wanapewa support na wazazi wao ni rahisi kufanikiwa
Oya tupambane sio rahisi
Wazazi wengi wa sasa ni wale waliosomesha watoto kishidashida mpaka wakafika walipofika. kwasasa watoto ndio wanawasaidia huko kijijini waliko au wengine wanaishi nao kabisa.
kutokana na sababu hizo, wazazi sasa hawana sauti ya kuwakemea watoto wao, wapo wanaofahamu kua watoto wao wanafanya...
Picha ilianza na Mimi. Nilibahatika ya kufaulu na kwenda shule nzuri tu ya sekondari ambako pia nilifauli kwenda masomo ya juu. Nikiwa nimekomaa na masomo ya biashara, ndoto kuu ilikuwa kuja kuwa mfanyakazi wa taasisi flani za kifedha.
Tena huko zinakotokea. Leo hii ni mwalimu ninayefundisha...
Mama ntilie, machinga, bodaboda na dada poa wamezeeka na wameanza kupata wajukuu.
Hivi sasa mitaani kuna wazazi ambao ktk maisha yao hawajawahi kulala chumbani (bedroom). Tangu wazaliwe mpaka wamepata watoto wameishi kwenye chumba kimoja, choo cha nje na bafu la passport (mtu anaoga huku...
Siku hizi Watoto wa Matajiri wako International School na hawa Watoto wa mama mboga wanasoma Kayumba school
Kwenye ushindani wa Ajira International School vs Kayumba school ni Sawa na Born Towns vs Bush Stars
Na mwisho kiuhalali kabisa Teuzi lazima ziwahusu Born Towns
Nawatakia Sabato Njema 😄😄
Katika MAISHA ikiwa umetokea familia masikini unaweza kuwa na haya mawazo au fikra hizi.
Pesa au mali za urithi zinaweza kukufanya na wewe kuwa na mali.
Ni rahisi Sana kuzaliwa ukiwa mtoto wa kishua Ila kuwafanya watoto wako na wajukuu zako kuwa wakishua. Inakuhitaji Kuwa na maono katika...
Kuna Mzazi (Masikini au Mnyonge) Mwenzangu Chumba cha Pili tu nimetoka kumuamlia asimchape mwanae kwakuwa hajui Kiingereza huku akimwambia kuwa ni bora Afeli masomo yote ila siyo Kiingereza ambacho kwake ndiyo Ishara Kuu ya Mtu Msomi.
Cha kushangaza sasa huyu huyu Mwanae asiyejua vyema...
Wanajamvi nawasalimu!
Nilipokuwa chuo niliishi maisha magumu mno, mlo nilikuwa nakula mmoja tu napo ni jioni. Home hakukuwa na hela na hawakuweza kunilipia ada. Hela yote ya boom nilikuwa naigawa kulipa madeni, ada na pango, na kubakiwa na kiasi kidogo mno ambacho hunisogeza kwa siku chache tu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.