Wakuu mpo salama?
Naimani kuwa Kila mfanyabishara ama mtoa huduma anahitaji kuwashawishi wateja wake wanunue bidhaa ama huduma anayoitoa jambo ambalo si rahisi pia kama hutojipanga vyema
Kila mteja kabla ya kunua bidhaa kuna vitu ambavyo vinaweza kumfanya asinunue hiyo bidhaa anaweza kuwa...