faragha mtandaoni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Trubetzkoy

    Kujirekodi na kusambaza video za utupu ni kosa kisheria?

    Habari! Sijui sheria zetu zimekaaje ila naomba niseme hili. Kwa miaka ya hivi karibuni hapa nchini kumeibuka wimbi kubwa la video zenye maudhui yasiyofaa zikisambaa mitandaoni huku vijana wa hovyo wakifurahia pindi waonapo video hizo ambazo wao huziita 'Connection', bullshit! Kimsingi video...
  2. The Sheriff

    Marekani: Wabunge wapendekeza mpango wa kulinda haki ya faragha mtandaoni kwa Wamarekani wote

    Wabunge wawili wa vyama vya Republican na Democratic nchini Marekani wamefikia makubaliano ya pande mbili ambayo kwa mara ya kwanza yanaweza kutoa haki ya msingi ya faragha ya kidijitali kwa Wamarekani wote na kuanzisha sheria ya kitaifa inayosimamia jinsi makampuni yanavyoweza kukusanya...
  3. Influenza

    Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi yazionya Taasisi za mikopo zinazodhalilisha watu ikiwemo kutuma ujumbe kwa ndugu

    Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi, Emmanuel Mkilia amezionya Taasisi na Watu Binafsi wanaotoa Mikopo na kisha kuwadhalilisha Wakopaji ikiwa wameshindwa kurudisha Mikopo Amesema, “Tutoe onyo kwa watu/Taasisi za Mikopo zinazowanyima haki ya faragha wateja kwa kuweka mikataba...
  4. R

    Wanawake wagundua kamera zilizofichwa bafuni katika nyumba ya kupangisha kwa muda (Airbnb)

    Marafiki hao 15 walipanga nyumba huyo kwa ajili mapumziko British Colombia, ndipo usiku mmoja wa mapumziko wao waligundua kulikuwa na camera zilizokuwa zimefichwa kwenye soketi ya umeme zikiwa zimeelekezwa bafuni. Mmoja wa marafiki hao aliona video kutoka mtandao wa Tiktok ikiongelea kuhusu...
  5. Black Opal

    Unafikiri ni kwanini hutakiwi kuanika maisha yako binafsi mtandaoni?

    Habari Wakuu, Wengi tumekuwa tunapokea ama kutoa ushauri kwa watu kuacha kuanika maisha yao binafsi mtandaoni. Baadhi wanaelewa huku wengine ikionekana maneno yanaingia sikio moja na kutokea jingine. Baadhi wamepata madhara kwa kuanika maisha yao mtandaoni huku wengine wakifaidika na hilo...
  6. R

    Kwanini unampa mtu wako wa karibu 'password' zako?

    Nywila (password) ni utambulisho binafsi, ambao hulinda taarifa zote katika ulimwengu wako wa kidijitali: taarifa binafsi, akaunti za benki, mitandao ya kijamii, taarifa za nyeti, picha na maudhui ya aina yoyote. Ndiyo maana ni muhimu kuunda nywila imara ambayo ni ngumu kukisia. Hata nywila...
  7. R

    Ni kwa kiasi gani watu wanakujua kwenye mitandao ya kijamii? Je, kuna hatari gani?

    Ni rahisi kupeana habari na watu unaowasiliana nao mtandaoni. Majukwaa kama vile mitandao ya kijamii inafanya iwe rahisi kwa wewe kutangaza kwa familia yako na marafiki (na hata kwa watu usiowajua, kulingana na mipangilio yako ya faragha) unachofanya na mahali ulipo. Mitandao ya kijamii kama...
Back
Top Bottom