Baada ya kuishi na lile kulumbembe kama ndugu na bado likaniletea dharau nilipata kabinti ka Kihangaza. Leo kanatimiza mwaka toka nianze kuishi nako!
Kabinti kanajitambua, kanachapa kazi, kasikivu, ukikaelekeza kanaelewa!
Kabunifu kenyewe unakuta kamepika chakula kitamu ukikauliza umejifunza...