"Nadharia ya Farasi Aliyekufa" ni sitiari ya dhihaka inayoonyesha jinsi baadhi ya watu, taasisi, au mataifa hushughulikia matatizo ya wazi yasiyoweza kutatuliwa. Badala ya kukubali ukweli, wanashikilia kuhalalisha matendo yao.
Wazo la msingi ni rahisi: ukigundua kuwa unapanda farasi aliyekufa...
Salaam,Shalom!!
Nalikuwa katika Roho, usiku, ndani ya nyumba, ghafula nikapata uwezo wa kuona nje mawinguni.
Naliona jeshi kubwa la Malaika na WATAKATIFU wakiongozwa na jemedari mkuu, Yesu Kristo, amevaa taji yenye kungaa sana kichwani mwake, mikononi alishika upanga ungaao sana, alipita...
Kama kawa, kama dawa....
Asili kuacha ni kimbembee....
https://youtube.com/shorts/FGKi35ClhvM?si=TYfyZ1TtOMv45IZt
Muonekano hapo juu wa picha unasema yote, mwanamke akiwa juu ya Farasi.... Utaona tuu, hatuliii
Atatikisika tuu kama si mabega basi matiti ama tumbo ama bambataa aahahahahhaa...
Askari Polisi wa kike kikosi cha Mbwa na farasi Makao Makuu Dar es salaam wameendelea kuyakumbuka makundi ya wahitaji licha ya kuwa na dhamana ya kuwalinda raia na mali zao ambapo wamewafariji wagonjwa katika hospitali ya Zakhem iliyopo Mbagala wilaya Temeke Mkoa wa Dar es salaam na kutoa vitu...
19 November 2023
Kuelekea uchaguzi mkuu nchini DR Congo nchi yenye utajiri mkubwa wa maliasili kama madini, uvunaji magogo ni watia nia wawili wa uRais ndiyo wanaoutia moto uchaguzi
https://m.youtube.com/watch?v=XzU9u6Y4bzg
Moïse Katumbi amewasiki Maniema na kupokelewa na umati mkubwa wa...
Sergio Rico ambaye ni kipa namba 2 wa Paris St-Germain amepata majeraha makubwa katika ajali wakati akiendesha farasi Nchini Hispania alipoenda kwa ajili ya mapumziko.
Rico (29) alikuwa katika Mji wa Huelva na baada ya ajali hiyo iliyohusisha farasi kugongana alisafirishwa kwa helikopta...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.