Waswahili waliwahi kunena kuwa....kufa ili usemwe, haijalishi ni kwa ubaya au uzuri, ilimradi usemwe tu kwa sababu huwezi kujibu chochote.
Hivi ni kweli JPM kwa kipindi chake cha miaka 5 alikopa zaidi ya Trillion 29? Hizi pesa pamoja na miradi yote hii aliyoacha ambayo kwa kiasi kikubwa...