Wakuu,
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Kagera, Faris Buruhan, amewataka vijana wanaopata mafunzo ya ufundi katika vyuo vya VETA kutumia vyema ujuzi wao, akisisitiza kuwa ajira mtaani zinategemea zaidi ujuzi na utendaji kazi badala ya vyeti vya elimu ya juu...