Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Kagera Ndugu Faris Buruhani, ameongoza BONANZA la mpira wa miguu kati ya timu za mashabiki wa Simba na mashabiki wa Yanga iliyochezwa katika uwanja wa shule ya Msingi Lyamahoro, katika kata ya Nyakibimbili.
Ndugu Faris, amelitumia Bonanza hilo kuwashukuru wananchi...