Mgambo maarufu katika kata ya Bomambuzi Manipaa ya Moshi aliyekuwa pia dereva bajaji, Farjala Abdallah ameuawa na watu wasiojulikana, huku Jeshi la Polisi mkoani Kilimanjaro likiahidi kuwasaka kwa udi na uvumba waliofanya mauaji hayo.
Mwili wa marehemu ulipatikana leo alfajiri ya Februari...