Wiki kadhaa niliingia CRDB na shida zangu kama mteja. Baada ya kukutana na wafanyakazi na kuwaeleza shida yangu ikawa kama mteja mkorofi. Jamaa nikashangaa wanakuwa wakali, eti "unatakiwa uwe na CRDB App". Nilipowajibu siitaki ikawa kama nimewaambia wasinihudumie, hii imenishangaza kwa kweli...
Hello ,
Ndoa nyingi hasa hizi za fasheni zimekuwa chanzo Cha umaskiini, ufukara, watoto fedhuli wa mitaani, ndoa hazina maadili, ndoa ni dhuluma yq nafsi za watu wanaochapiwa wanakesha bar, wenye magomvi yq kuchapiwa na kushare hali ni mbaya.
Tuzipinge ndoa hazina afya kwa dira ya taifa...
Ni ngumu sana kwa karne hii iliyojaa kizazi cha nyoka kupaka mwanamke ambae ana utayari wa kukaa kwenye ndoa.
Hii ina maana kuwa anakuwa tayari kuvuliwa chupi, kufanya usafi, kusaidia ndugu na jamaa za mume na kutii maagizo ya mume.
Siku hizi wanawake wengi wanatafuta mahala pa kujificha na...
Naona sasa imekua ndo kawaida kwa wasanii wetu kila wimbo unaotoka ni Amapiano sijui amopiano yaani zinafanana kwa kila kitu,binafsi naona ni upuuzi mtupu!!
Katika race zote duniani nafikiri watu weusi ndiyo wanaongoza kuvaa kwa fasheni na kujipamba. Mambo ya mikufu mikubwa na ghali, pete nyingi, bangili na hereni ni kawaida kwao, hiki si kwa manaume au kwa mwanamke.
Mtu mweusi popote duniani anahusudu sana mavazi na anatumia gharama kubwa sana...
Hapo vipi!
Binafsi mwaka 2019 nilikuwa mwanachama wa chama fulani cha upinzani, ila nilikaa nikatafakari na nikachunguza hicho chama mbadala nikagundua ni kitakuja kuwa ni chama cha ovyo kitakachokuwa kama kampuni ya watu fulani wanaotoka katika kabila fulani. Pima nimepima sera zake nikagundua...
Wakuu,
Hivi karibuni kumekuwa na matumizi ya midoli kwa wenye maduka ya nguo kuwavalisha mavazi yanayopatikana kwenye maduka yao
Sasa utakutana na mdoli wa kike umevalishwa sidiria na nguo ya ndani mchana kweupe na umewekwa nje kwa maonesho
Binafsi naona hata kama ni maendeleo ila sio sawa...
1. i phones ni gharama, Hapa sitazungumza sana, nachoomba tu nenda duka linalouza i phones mpya (sio mitumba / refurbished) kaulize bei, Inabidi uwe vizuri kiuchumi tofauti na huku android kuna simu hata za laki kwa wenye bajeti finyu ila pia kuna simu za gharama kuliko hata iPhone kwa...
Mengi yamesemwa kuhusiana na hizi barakoa na hadi sasa hivi kuna baadhi ya watu hawajazielewa vizuri.
Kuna wanaodai zile za kutengenezwa mtaani hazifai kabisa lakini kuna kundi la watu wengine wanadai hata hivyo zinasaidia kuliko kuacha kabisa kuvaa.
Nilichokishuhudia leo kwa jirani yangu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.