Mimi ni mtu ninayependa kuvaa vizuri na kula vizuri. Kumbukumbu zangu zinaonyesha mara ya mwisho kununua mtumba ni miaka mingi ishapita hata zaidi ya 10. Nilijiambia bora niwe na nguo chache ila za ubora wa hali ya juu ambazo hata nikivaa najiongezea thamani yangu. Na ninapenda fashion nzuri...