fast and furious

  1. Eli Cohen

    Kati ya Fast and Furious zote ni zipi 3 kwako ni bora kuliko zote?

    Jamaa wamejitahidi kutupatia classics throughout the years: The Fast and the Furious (2001) 2 Fast 2 Furious (2003) The Fast and the Furious: Tokyo Drift (2006) Fast & Furious (2009) Fast Five (2011) Fast & Furious 6 (2013) Furious 7 (2015) The Fate of the Furious (2017)...
  2. C

    Fast and Furious 9 'F 9' imetangazwa kuwa filamu iliyoingiza pesa nyingi zaidi kutoka kwenye majumba ya sinema toka kuanza kwa janga la Corona Virus

    Fast and Furious 9 'F 9' imetangazwa kuwa filamu iliyoingiza pesa nyingi zaidi kutoka kwenye majumba ya sinema toka kuanza kwa janga la Corona Virus duniani. Mpaka sasa F9 Imetengeneza dola milioni 700, huku dola milioni 200 zikitoka kwa watazamaji nchini China. Studio za Universal...
  3. EINSTEIN112

    Expendable vs Fast and furious

    Haya makundi mawili ya waigizaji yamejizolea umaarufu sana kwa kutengeneza filamu kali zinazobamba saaana. EXPENDABLE = hii series ya movies imesheheni Waigizaji wakongwe na waliotamba saana kipindi cha nyuma na hadi leo bado wapo gado saana mixer waigizaji vijana, sina sababu ya kuwaorodhesha...
  4. Fabijr

    Kama uliipenda Fast and Furious, tazama hii pia

    Wale mnaomkubali kinyama Vin Disel kaja na BLOODSHOT. Movie kali ya action 2020 Pakua Bure Hapa ShrinkMe.io
Back
Top Bottom