Makombora ya Iran yapelekwa nchini Russia kwa ajili ya kushambulia Ukraine
Iran yapeleka makombora aina ya Fateh-110 na zolfaghar.
Makombora haya yana uwezo wa kushambulia umbali wa kilometers 300 hadi kilometers 700.
Iwapo makombora haya yatatumika nchini ukraine, basi kila eneo lililopo...