Father's Day is a day of honouring fatherhood and paternal bonds, as well as the influence of fathers in society. In Catholic countries of Europe, it has been celebrated on November 16 as Saint Joseph's Day since the Middle Ages. In America, Father's Day was founded by Sonora Smart Dodd, and celebrated on the third Sunday of June for the first time in 1910. The day is held on various dates across the world and different regions maintain their own traditions of honouring fatherhood.
Father's day complements similar celebrations honouring family members, such as Mother's Day, Siblings Day and Grandparents' Day.
Moja ya zawadi bora baba unayoweza kutoa kwa watoto au mtoto wako ni uwepo wako, ndio uwepo wako kwa hao watoto ni zawadi, utawapa kujiona kuwa unawathamini na kuwajali kwa kuwa karibu nao, kuzunguza nao, kucheza nao na kuwasikiliza wanasema ninj kwako kuhusu mahitaji yao, na maisha yao kwa...
Wakuu salama?
Leo 16/6/2024 ni Siku ya akina Baba Duniani/Father's Day (ambayo husheherekewa kila Jumapili ya tatu ya Mwezi Juni). Kwa maoni siku hii hatuwasherekei tu wanaume wenye watoto/wanaoitwa baba na wenye upendo kwa watoto wao bali pia tunawasherekea:
- Wale wote wanaotamani kuwa...
Happy father's day to my father na baba wote wanaotambua majukumu yao na hata waliopitiwa kwa namna moja ama nyingine katika kufanya majukumu yao
Uwepo wenu ni muhimu sana katika maisha yetu. Kumbukumbu zangu za tangu utotoni nyingi nzuri ninazo za baba zaidi kama. Zile outings 😊Siku ya kwanza...
Habari wadau
Leo ni kumbukizi ya wababa duniani nami nawatakia heri na fanaka katika kumbukizi hii especial dady wangu namlavu sana kwa kunilea na kunitunza mpaka niko hivi
Pia sitamsahau dady yetu wa jf Watu8 kwa kutupa maadili sisi watoto wake wote pacha wetu Passion Lady na Lady doctor...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.