Anayetajwa kuwa Afisa wa Jeshi la Polisi, Fatma Kigondo, amejikuta akihusishwa na tuhuma nzito za kuratibu tukio la ubakaji wa kundi na ulawiti wa binti anayeishi Yombo Dovya, Dar es Salaam.
Tuhuma hizo zinamweleza kuwa aliwatuma vijana wanne, akiwemo askari wa vyombo vya usalama, kutenda...
Wewe umejinasibu kuwa utafungua kesi kwa gharama zako hadi uhakikishe kesi ya Afande unashinda, watu wakakupongeza sana, leo kesi inatajwa huko Dodoma unapost kwenye page yako kuwa hujaenda kwa sababu huna hela.
Uko serious kweli? Wewe na kiboko ya wachawi mna tofauti gani?
=======
Soma...
Jeshi la Polisi limesema limeshafanya Uchunguz wa kina dhidi ya Afisa wa Polisi anayetajwa kwa jina la 'Fatma Kigondo' ikiwa ni pamoja na kupata maelezo ya watu mbalimbali
Kwa mujibu wa taarifa ya Msemaji wa Jeshi la Polisi, David Misime, imeeleza kuwa Jeshi limeshachukua maelezo ya Afisa huyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.