Jeshi la Polisi limesema limeshafanya Uchunguz wa kina dhidi ya Afisa wa Polisi anayetajwa kwa jina la 'Fatma Kigondo' ikiwa ni pamoja na kupata maelezo ya watu mbalimbali
Kwa mujibu wa taarifa ya Msemaji wa Jeshi la Polisi, David Misime, imeeleza kuwa Jeshi limeshachukua maelezo ya Afisa huyo...