fatma mwassa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. chiembe

    IjukaOmuka: Fatma Mwassa, asante kwa kuwakumbusha wana Kagera wakumbuke nyumbani, lakini ukurasa wa instagram wa mkoa hauna post tangu January 2024

    Nadhani Gerson Msigwa aanze kupima utendaji wa sektretariat za habari kwa kuangalia social media engagement. Na wakifanya hivyo, Makao Makuu ya Idara ya Habari (Maelezo) iwe inapewa taarifa Imagine. Ukurasa rasmi wa ofisi ya mkuu wa mkoa (Instagram page) hauna habari yoyote iliyowekwa tangu...
  2. M

    LGE2024 RC Kagera, Fatma Mwassa atembelea vituo vya kura kuangalia maendeleo

    Mkuu wa mkoa wa Kagera Khajati Fatma Mwassa akiwa kituo cha kilima hewa kata Kashai akiangalia namna wanavyoendelea kujitokeza kwa wingi kupiga kura .Pia ametumia fursa hiyo kuwaomba wananchi kuendelea kujitokeza katika vituo vilivyopo katika maeneo yao kupiga kura Pia soma > LIVE - LGE2024 -...
  3. B

    Kagera: RC Mwassa awaita wananchi kwenye uzinduzi wa kampeni ya kitaifa kupinga ukatili dhidi ya maalbino. Waziri Ndejembi kuongoza uzinduzi huo

    RC MWASSA AWAITA WANANCHI KWENYE UZINDUZI WA KAMPENI YA KITAIFA KUPINGA UKATILI DHIDI YA MAALBINO. WAZIRI NDEJEMBI KUONGOZA UZINDUZI HUO. Ni leo Jumanne Julai 09, 2024 kwenye Viwanja vya Kamachumu wilayani Muleba. Mkuu wa Mkoa wa Kagera Mhe. Hajjat Fatma Mwassa leo anawakaribisha wananchi...
  4. B

    Rais Samia afanikisha Chuo Kikuu cha Dar es Salaam tawi la Kagera kuanza kujengwa RC Mwassa asisitiza uharaka

    Na Bwanku M Bwanku 🔨Kukamilika mwaka mmoja na nusu ujao, kwenda kufuta adha ya Mkoa wa Kagera kutokuwa na Chuo Kikuu. Wiki iliyopita ilikua ya furaha na ndelemo baada ya Mkoa wa Kagera kuanza rasmi ujenzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) Tawi la Kagera na kufuta changamoto ya mkoa wa...
  5. B

    RC Mwassa awapa rungu maafisa tarafa na watendaji kata kusimamia miradi, kuinua uchumi, ukusanyaji mapato, kutatua kero na kujipanga kwa uchaguzi

    Atangaza neema Mei Mosi kwa watakaotatua migogoro na kero za wananchi kwa wingi na ufanisi mkoani Kagera Mkuu wa Mkoa wa Kagera Mhe. Hajjat Fatma Mwassa amesema Maafisa Tarafa na Watendaji wa Kata ni wadau muhimu sana katika kusukuma maendeleo kwani ndiyo wako karibu na wananchi na wana nafasi...
  6. J

    RC Mwassa: Itakuwa aibu iwapo Bwawa la Nyerere litakamilika halafu lishindwe kuzalisha Umeme kwa sababu ya kukosa Maji

    Mkuu wa Mkoa wa Morogoro mh Fatma Mwassa amesema itakuwa ni aibu endapo Bwawa la Nyerere litakamilika halafu lishindwe kuzalisha Umeme kwa sababu ya ukosefu wa Maji. Mh Mwassa amewataka Wananchi kulinda na kutunza Vyanzo vya Maji hasa nyakati hizi za Mabadiliko ya Tabia nchi. Source: ITV Habari
Back
Top Bottom