WAANGUKIA PUA
- ni Fatuma karume, Mwabukusi, Kambole, Tito Magoti na wenzao
- walikimbilia CANADA kuishtaki Tanzania kupitia kampuni ya Twiga-Barrick wakitaka walipwe Mabilioni ya pesa
- Jaji wa Mahakama hiyo awatoa nishai, awaambia Mahakama Tanzania ziko huru na zinaweza kusikiliza kesi hiyo...
Eleweni, SSH kaendelea na kesi dhidi yangu.
Kapeleka application ya kuomba muda wa kupeleka rufaa ili kuchukuwa leseni yangu MILELE. Anataka nisiingia Mahakamani Milele!
Sijamtetea kwa sababu nataka LESENI. Hatonipa MILELE!
Niliamini ni mtu mwema. That’s all.
I was wrong...
Japo inafahamika kwamba Tulia Ackson hana Aibu yoyote kutokana na uzoefu wake kwenye Mambo ya ajabu, Ukizingatia kwamba Alikuwa anatembea na Majeneza kule Mbeya wakati akisaka Ubunge (Ishara ya Ushirikina).
Hata hivyo Wakili Msomi Fatuma Karume amemuumbua kutokana na kujifanya kupata uchungu...
Tazama na sikiliza kwa makini mwanzo mwisho video clip hii fupi ya dakika 16 Tundu Lissu akijibu hoja ya ubaguzi na matundu ya muungano wa Tanganyika & Zanzibar (1964) kwa kutumia katiba mbili za JMT (1977) na ile ya Zanzibar (1984) akihutubia maelfu ya wananchi Dodoma jana tarehe 29/4/2024...
Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), imetumia muda wa saa mbili kumaliza kupitia upya shauri la mchezaji Feisal Salum ‘Fei Toto’ na Klabu ya Yanga linalohusiana na mkataba baina ya pande hizo mbili.
Shauri hilo lilianza kusikilizwa saa 5:20 asubuhi na...
Clip ya Dak 2:47 akiwa Oslo Forum anasimulia namna "Kinyago Tulichokichonga Wenyewe" namna kilivyo piga bomu ofisi yake ya UWAKILI na kumjeruhi Tundu Lissu kwa risasi 16.
Hatimaye Kinyago chenyewe kilinyauka mnamo 17/ 03/ 21.
Nachojua siasa za upinzani zinahitaji mtu asiyeyumba, Asiye na Tamaa na anayejitoa.
Kwa harakati wanazofanya hasa kwa kujitoa kwao, Zilivyo logical naamini Kuna sehemu watakipeleka chama mbali.
Pia Maria anaweza pia kuanzisha vipindi maalumu kwenye tv vya kuelezea Sera na malengo ya chademà...
Ktk maandishi yake shangazi Fatuma Karume anasema dhihaka zinazotolewa na akina Ndugai, Polepole, Gwajima, n.k ni taarifa tosha kabisa kuwa rais Samia haheshimiki ndani ya ccm.
Shangazi amehitimisha kwa kuuliza swali kwamba...January mwaka huu deni lilikuwa 71 trilioni...kwann Ndugai...
FATUMA KARUME LAZIMA UJUE SHERIA ZA ASILI(ZA MUNGU) HAZIPITWI NA WAKATI.
Kwa Mkono wa, Robert Heriel.
Tahadhari; Andiko hili huenda likawa limetumia lugha Kali. Ikiwa unatatizo na Lugha Kali na zinakudhuru Kwa namna moja ama nyingine basi nakusihi ishia hapahapa kusoma. Na endapo umekaidi...
Swali kwa Job:
Kwani Wanahabari ni Wabunge mpaka uwapeleke kwenye Kamati ya Maadili ya Bunge?
Ushauri wangu ni:
Job soma kanuni ya 2 ya Kanuni za Bunge. Kanuni zenu zinatumika kuendesha Bunge na si NCHI. Hazituhusu sisi. Si SHERIA za Nchi.
Bunge si Mahakama. Halina MAMLAKA la kumuhukumu mtu...
Ameandika Shangazi Fatma Karume kwenye ukurasa wake wa Twitter:
"Kilangi kawapeleka Jebra Kambole na Edson Kilatu mbele ya Kamati ya Maadili ili na wao WAVULIWE UWAKILI na majina yao yafutwe kwenye ORODHA ya Mawakili. Kosa lao: Kutoa maoni yao Mtandaoni. Kilangi, AG kuwa Advocate no. 1 ni...
Hii ndio taarifa mpya iliyotufikia muda huu kutoka Mahakamani .
Taarifa hiyo inaeleza kwamba Mahakama kuu imeona kwamba Fatuma Karume alihukumiwa bila kupewa nafasi ya kujitetea mbele ya Kamati ya maadili ya Mawakili , hivyo imetengua hukumu yake na kuitaka Kamati hiyo kumaliza jambo hilo kwa...
Wakuu, juzi kati kupitia kipindi cha asubuhi wanakiita Joto la Asubuhi Gerald Hando alikuwa na mahojiano na mwanasheria Fatuma Karume 'Shangazi'.
Nilibahatika kusikiliza kama dakika 30 hivi za mwishoni lakini nilivutiwa mno kwa namna ya ueledi uliooneshwa na pande zote yaani kati wa mtangazaji...
Fatuma Karume amesema Serikali ya Mapinduzi Zanzibar inaidai Serikali ya Jamhuri ya Muungano kiasi cha pesa cha trilioni 4.6 kutokana na kupokonywa kutoka kwa wadau mbalimbali wa maendeleo
Fatuma Karume ambaye mara kwa mara hujimwambafai kukulia Ikulu ya Zanzibar na hivyo kuwa anafahamu siri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.