Kamishina wa Polisi Jamii (CP), Fausitine Shilogile amewaelekeza wakuu wa upelelezi katika mikoa (RCO) pamoja na madawati ya jinsia kuhakikisha wanafuatialia kwa ukaribu kesi za ukatili wa kijinsia na unayanyasaji wa watoto ili wanapopeleka jalada kwa Mwanasheria wa Serikali liwe na ushahidi...