Ikitokea tukapewa nafasi Nyingine, Prof . Janabi anafaa kuwa Mbadala katika nafasi ya Faustine Ndungulile DG-WHO-africa
Tanzania bado tuna akiba ya watu muhimu na wenye taaluma zao wanaojua nini kifanyike wakati gani na muda gani na kwa sababu gani hasa linapokuja katika taaluma ya Afya...
Baada ya Dr. Faustine Engelbert Ndugulile kuchaguliwa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Dunia (WHO) hapo jana jimbo la Kigamboni ambalo alikuwa anahudumu yeye kama mbunge lipo wazi kwani kwa kuchaguliwa katika nafasi hiyo hastahili kuendelea na majukuhu hayo ya kisiasa.
Pia soma: Dkt...