ππ hivi huyu Dulla Makabila ana nini kwani? Jamaa amekuja na tuzo zake "Makabila Awards" na ametangaza vipengele tisa vilivyojaa utani, kuna UVUMILIVU, FITNA YA MUZIKI, CHAWA BORA mpaka KUPENDA WAGANGA ππ
Sema Ruby na Ray the Boss kama hajapenda hivi. Wakasuka kwenye comments na kumpa vidonge...