Taasisi ya Foundation For Civil Society FCS, imeungana na wadau wengine wa Asasi za Kiraia na ubalozi wa Denmark kusherehekea miaka 62 ya mashirikiano kati ya Serikali ya Tanzania na Denmark.
Akizungumza katika hafla hiyo iliyofanyika Machi 21, 2024 Jijini Dar es Salaam, Mkurugenzi Mtendaji wa...