Habari Wana JF,Leo ni tarehe 01_03_2025 Siku ya Jumamosi, Kwa wale Wasabato niwatakie Sabato Njema.
Nilimsikiliza mwanahistoria mmoja,nae aliniambia hivi,hapo zamani siku zilihesabiwa kuanzia tarehe Moja hadi thelasini,Maana yake miezi yote ilikuwa na siku thelasini.Lakini kutokana na...