Tangu noti za dola zibuniwe mwaka 1862, Ni mara chache sana tumesikia zikibadilishwa design au kubadilishwa kwa namna yoyote ile, ila hapa Tanzania noti zimekuwa zikibuniwa, kueditiwa na kubadilishwa mara kwa mara.
Kuna umuhimu gani kuweka signature ya waziri wa fedha ambaye leo yupo kesho...