fedha ya klabu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Wana-Yanga tusikubali matumizi mabaya ya fedha ya klabu. Kama Ally Kamwe yupo, Mzee Manara anarudi kufanya nini? Mbona Simba Ahmed Ally anatosha?

    Naona kazi ya usemaji babu yetu Mzee Manara na yeye kaiingilia, yaani kazi iliyofanywa kwa ufanisi na weledi mkubwa, leo anaongezwa mtu mwingine. Leo katika mkutano na wanahabari, yaani ikawa mvurugano tu, hamna consistency. Vitu vichache wamejaa wasemaji wawili. Vionjo vya Ali Kamwe vina miksa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…