Na Salehe Mohamed
Tanzania Daima~Sauti ya Watu
SERIKALI itaweka hadharani kiwango cha fedha kilichorudishwa na kampuni zilizochota fedha katika Benki Kuu ya Tanzania (BoT), kupitia Akaunti ya Malipo ya Nje (EPA), baada ya wiki mbili kuanzia sasa.
Kauli hiyo ilitolewa jana jijini Dar es Salaam...