fedha za tasaf

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Bila bila

    Dkt Doroth Gwajima, tafadhali tufafanulie kama fedha za TASAF: Ni Mali ya chama au Serikali?

    Dkt Doroth Gwajima ni Kipenzi cha watu wa mitandaoni maana anajibu kistaarabu na anachukua hatua Kwa Malalamiko anayoyapata mitandaoni. Aje atufafanulie kama madai ya hawa Wananchi wa Kasulu ni kweli au uzushi? Kama ni kweli, sharti la kuwa na kazi ya chama liko kwenye Sera ya uchumi au sheria...
Back
Top Bottom