After a long time of usage and public checkability! I have noted that:
1. Rais anaweza kutumia kiasi chochote cha fedha za Umma as long as zinamwelekeo wa kumpigia kampeni za uchaguzi 2025.
Na "wahuni" wameshamsoma, ndiyo maana wasanii by 99,99999% wako upande wake kwa vile watachota pesa za...
Wakuu aliyekuwa mgombea wa nafasi ya mwenyekiti CHADEMA Taifa, Odero Odero alipofanya mahojiano na Edwin Odemba amegusia suala la wale wa kila jambo tunamshukuru mama, tunamshukuru Rais, yani hotuba anaijaza shukrani lukuki kuliko hoja za msingi.
====
“Leo hii Mbunge akisimama kuzungumuza...
Mbunge wa Jimbo la Kisesa, mkoani Simiyu, Luhaga Mpina, amesema hatakaa kimya wakati baadhi ya watu wakiendelea kuendeleza ufisadi na matumizi mabaya ya fedha za umma, hali inayorudisha nyuma maendeleo ya wananchi.
Soma Pia:
Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar...
Watendaji wa serikali mkoani Kigoma wametakiwa kuzingatia miongozo ya matumizi ya fedha za umma ili kufanikisha mipango ya serikali inayolenga kuimarisha utoaji wa huduma bora kwa wananchi.
Wito huo umetolewa na Katibu Tawala wa Mkoa wa Kigoma, Hassan Rugwa, baada ya mkoa huo kushika nafasi ya...
Jumuiya ya Wahasibu Wakuu wa nchi za Afrika wametakiwa kuandaa mapendekezo yanayohusu umuhimu wa mifumo madhubuti ya usimamizi wa fedha za umma inayoweza kukabiliana na changamoto zinazojitokeza duniani ikiwa ni pamoja na athari za mabadiliko ya tabianchi, mabadiliko ya kiteknolojia na...
Hii HOJA inanitatiza sana, nilisikia Kauli kuwa Tamasha la Mama Kizimkazi limedhaminiwa na Rais Samia, ila nimejaribu kudadavua sijapata kuelewa hata kidogo.
Viongozi karibu wote wa serikali wamekuwa wakiita Fedha za bajeti kuu ya serikali kuwa ni Fedha za mama, na kwamba miradi yote ya...
Watumishi wa umma hasa viongozi wakuu wa taasisi na mashirika ya umma wamesafiri kutoka Dodoma na mikoa mingine kwenda Zanzibar .
Wasanii na waandishi wa habari wamekusanyika Zanzibar
Vikundi vya ngoma na wananchi mbalimbali hasa wanaccm wapo wapo Zanzibar
Je, gharama hizi zinalipwa na kodi...
Kisheria bodi ya mikopo ya elimu ya juu pekee ndiyo bodi rasmi ya serikali ya kutoa mikopo, kulingana na vigezo mbalimbali vilivyowekwa. Wako vijana wanaokosa mikopo wakati wanavyo vigezo vyote, kwanini fedha hizo zielekezwe kwa wengine ilihali ni fedha ya umma na inatolewa kwa mfumo na...
Hali ya soko la Kijichi lililopo kwenye Halmashauri ya Manispaa ya Temeke ambalo lilijengwa kupitia mradi wa uboreshaji wa miundombinu katika Jiji la Dar es Salaam (DMDP).
Soko la Kijichi lililopo Halmashauri ya Manispaa ya Temeke ambalo lilijengwa kwa gharama kubwa lipo tupu na halitumiki...
Kigogo huyo alikuwa anashitakiwa Kwa kosa la kuwa na Mali ambazo Hazina maelezo karibia Bilioni 4.
Mahakama Kuu imemuachia huru lakini akatiwa mbaroni tena Kwa DPP kukata Rufaa.
My Take
Mwenye pesa hajawahi fungwa hapa Tanzania labda Gen-Z waje wajitoe ufahamu ndio heshima itakuja.
====...
Si ajabu zimetoka bi milioni 500 kununu gari kwa ajili ya kuunda msafara wa kwenda Bungeni kusoma bajeti. Ufidhuli gani huu
Extravagancy of the highest degree
https://youtu.be/NG15iZ2P4aQ
Tangu akiwa Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda amekuwa akitatua shida za watu zinazohutaji fedha kirahisi Sana.
Kuna wakati inaleta maswali, jee hizo fedha ni zake binafsi ama ni za umma?
Kama ni zake binafsi, jee zinatokana na mshahara wake, michango ya marafiki zake au Faida...
Maeneo kumi (10) muhimu katika Uchambuzi wa Ripoti ya CAG mwaka 2022/23.
Kama ambavyo tumekuwa tukifanya kila mwaka, uchambuzi wetu mwaka huu utajikita kwenye mambo kumi (10) ambayo tunaona ni muhimu Watanzania kuyatambua na tutayatolea mapendekezo ili yaweze kuchukuliwa hatua.
Katika...
Kasheku amelilalamikia Bunge kwa nini haliwezi kutoa maamuzi ya kufanyiwa kazi.
Anapendekeza bora hoja bungeni zisipelekwe kuliko kupoteza muda.
Ktk clip inayosambazwa anatoa mifano kuwa kuna Mwizi ktk halimashari alipeleka jina lake kwa Waziri Bashingwa na hakuona mwitikio na hatua...
Wakuu,
Kuna anayejua matumizi ya Rais kwa mwaka? Yeye kama mtumishi wa mwananchi, raia wake tuna haki ya kujua kiasi cha mshahara anaopokea pamoja na matumizi yake.
Milioni 150 alizotoa zimetoka wapi? Zimechotwa kutoka kwenye kodi zake au ni mshahara wake?
Nini kipo nyuma ndani ya mchango...
Rais William Ruto ameendelea kufafanua safari zake za mara kwa mara za nje ambazo zimezua kejeli kutoka kwa baadhi ya Wakenya.
Akiwa katika ibada ya kanisa huko Kimende, Kaunti ya Kiambu siku ya Jumapili, Ruto alikariri kwamba ziara zake nyingi za Kiserikali ni kwa manufaa ya ukuaji wa Kenya na...
Dar/Arusha. Rais Samia Suluhu Hassan amewataka Watanzania kuwa na imani na Serikali katika mageuzi ndani ya mashirika na taasisi za umma, akiwaonya mawaziri wanaoyatumia kujinufaisha.
Amesema inasikitisha kuona mashirika ya umma katika mataifa mengine duniani yakiongeza tija na mchango kwenye...
Haki ya kupata Taarifa iliandikwa kwa mara ya kwanza kwenye Katiba ya Sweden Mwaka 1766. Baadaye ikaletwa Sheria ya Uhuru wa Vyombo vya Habari kwa lengo la kuondoa zuio la Kisiasa la kupata nyaraka za Umma
Tangu wakati huo, Nchi nyingi zilifuata mfano huo, na mpaka sasa Haki hii inalindwa...
Kila mwaka, tunashuhudia Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) akitoa Hati za Ukaguzi kuhusu utayarishaji wa hesabu za taasisi za umma. Hati hizi ni muhimu sana katika kuhakikisha uwazi na uwajibikaji katika matumizi ya fedha za umma.
Hati ya Kwanza ni ile inayoitwa "Hati...