Salam wanabodi,
Upigaji wa fedha za wazazi ni upigaji unaofanywa na baadhi ya viongozi wa kamati za wazazi katika shule za serikali hasa za sekondari. Karibia kila shule wazazi wamefungua account bank kwa ajili ya michango ya chakula cha watoto shuleni, mpishi, walinzi, walimu wa masomo ya...