fedheha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. F

    Serikali isifanye mambo kwa kukurupuka, kuteua leo na kutengua kesho ni fedheha kwa nchi

    Juzi tu aliyekuwa mkurugenzi wa TANESCO Maharage Chande aliondolewa Tanesco na ktangazwa kuwa mkurugenzi mkuu TTCL. Leo baada tu ya siku tatu ametanguliwa na kufanywa kuwa Postamasta! Jambo hili linaonesha jinsi serikali isivyo makini katika kufanya teuzi au maamuzi yenye maslahi ya kitaifa...
  2. Lukansheko asema drones za Ukraine zinajipigia popote Urusi, ni fedheha

    Kwamba drones zinaingia na kutoka zitakvyo, asema suluhu itafutwe itakayogharimu hela nyingi sana maana ni fedheha.... Self-proclaimed President of Belarus Alexander Lukashenko is "thinking about how to counter" attacks on Russian territory, but it’s going to require "hundreds of millions of...
  3. S

    Wanawake hamuoni fedheha kuvaa nguo za ndani zinazojichora hasa mkitembea?

    Wanawake wenye kujiheshimu, huwezi ona amevaa nguo ambayo akitembea na wakati mwingine hata akiwa amesimama, nguo ya ndani (pindo) zinajichora mpaka inakua albu kumtazama. Mimi naamini huwa wanajiona kwenye vioo ila kwa akili zao baadhi wanaona ni sawa tu au ni sehemu ya kuongeza mvuto kitu...
  4. Kwa hoja za Shekhe Mwaipopo, Wakristo wameshinda! Kwa hoja za wananchi! Tanzania imeshinda!

    Kitendo cha Sekeretaliet ya bunge kukubali kuwa mkataba unamapungufu, hii imewaongezea credit kubwa wote waliokuwa wakipinga mkataba huu na kuwapunguzia heshima wote waliokuwa wakishabikia mkataba! Ieleweke hivi! Watu wanapinga mkataba na siyo wawekezaji! Wawekezaji waje na mikataba rafiki, na...
  5. Ni fedheha Serikali kujinasibu kukusanya bil 291 kupitia utalii huku ikichangisha raia maskini pesa na tozo kandamizi

    Kwanini kuwe na tozo za miamala ya simu na benki kama utalii tu unakusanya bil 291? Kwa nini serikali inaruhusu michango ya maendeleo mashuleni wakati utalii unazlihsa pesa ambazo zinatosha kuhudumia mashule na kujenga matundu ya vyoo. Unajinasibu nini?
  6. Mgomo wa wafanyabiashara Kariakoo ni fedheha kwa Serikali

    Hii aibu ya huu mgomo ni kubwa sana na inafikirisha sana, je, hayo madeni ya Kodi ni bambikizi, ni penalty, na fitina ni nini hasa? DG wa TRA yupo, Waziri wa Fedha yupo, Waziri wa Biashara yupo, kwanini haya madeni? Yapi halali na yapi haramu? Je, hii italeta mazoea ya kukwepa Kodi au mazoea ya...
  7. M

    Wote waliofurahia vifo vya mashujaa wa Afrika hawajawahi kufa bila fedheha

    Wako wapi waliofurahia kifo cha Samora Machel akina Peter W Botha? Walikufa kwa fedheha. Waliomuua Patrice Lumumba na wakafurahi akina Mobutu Sese Seko Waliomuua Thomas Sankara na kufurahia walishakufa kwa fedheha. Na hata waliofurahia kifo cha shujaa wa Tanzania watakufa kwa fedheha
  8. Walimu kutumia Vishkwambi ni mpaka wapewe semina na elimu kutoka Wizarani?

    Mbona walimu wanachekesha nchi jamani? Mpaka Raisi anasema wapewe elimu namna ya kuvitumia aisee! Kweli walimu ni taabu kiasi wadau, mwanangu anaweza akatelezesha hivyo vishkwambi na asipate shida yoyote! ila mwalimu anataka semina ya kufundishwa kutumia? Ualimu ni shida sana.
  9. Itakuwa ni aibu na fedheha kwa wanasoka kama Arsenal hii itachukua ubingwa EPL

    Tangu kuongoza kwa ligi na matokeo waliokuwa wakiyapata, kuna kina sisi ambao tulikuwa tunaona ni dharau sana kwa haka katimu kukalia usukani. Anyway EPL ni mbio ndefu sana, tunategemea katakaa mahali panapostahili siku zote( Nafasi ya 3 ,4 au ya 5) Arsenal hii siyo ya kuchukua ubingwa na kama...
  10. Nilikuwa nacheki bongo movie kupitia Azam, ni fedheha sana

    Nilikuwa nacheki bongo movie mchana wa leo kupitia azam 😁 dah ni fedheha sana, ni aibu mno, mimi ni mfuatiliaji mzuri sana wa ERTUGRUL na kwa sasa OSMAN, kwakweli waturuki wapo mbali sana, hii historia ya Ottoman inatufundisha mambo mengi sana ambayo huyakuti katika movie zetu za kibongo wala...
  11. Ndugai: Viongozi tujipime kabla ya kufedheheshwa

    Kauli ya aliyekuwa Spika wa Bunge, Job Ndugai ya kuwataka viongozi wa kuchaguliwa kujipima kabla ya kugombea tena nafasi hizo katika chaguzi zijazo ili kuepuka aibu ya kushindwa, imewaibua viongozi wa siasa. Ndugai, ambaye ni Mbunge wa Kongwa (CCM), alisema yeye hatagombea tena nafasi hiyo...
  12. Nakumbuka ile siku askari wa JWTZ alipokula kichapo cha fedheha kutoka kwa aAkari wa Magereza

    Hello! Ilikuwa miaka ya 1997-1999, kumbukumbu zangu zinaniambia hivyo. Kulikuwa na gulio la mazao (korosho) katika viwanja vya magereza Liwale-Lindi. Sasa huyo jamaa wa JWTZ alikuja likizo kuwasalimia wazazi na ndugu. Naye akaenda gulioni kusaidia wazazi kupima korosho. Yule mjeda alitumia...
  13. Wema wangu ulivyoniletea kejeli na fedheha kutoka kwa mama mkwe uchwara

    Ndugu wana JF wasalaaam, Napenda ku-share nanyi hii stori ili iwe fundisho kwa wengine wasije wakafanya makosa kama nilivyofanya mimi. Katika mizunguko na harakati za maisha nikakutana na mwanamke tukaanzisha mahusiano na hatimae tukaanza kuishi pamoja kama mke na mume. Hapa hakuna ile ndoa...
  14. S

    Fedheha: Marekani imeilipa Urusi bilioni mbili za Ruble ili mwanaanga wa Kimarekani aweze kurejeshwa duniani na chombo cha Urusi

    Katika jitihada za kumrejesha duniani mwana anga wa kimarekani Mark Vande Hei toka anga la mbali, Marekani imelazimika kulipa ruble bilioni 2 kwa Urusi ili Urusi ikamchukue mwana anga huyo kwa kutumia chombo cha Urusi. Pro-NATO huwa wanatokwa povu hapa JF wakijitahidi kutaka kutuaminisha eti...
  15. D

    Usalama wa Raia na Mali zao: Vibaka waliokata watu mapanga nyumba 21 Chanika ni fedheha isiyovumilika

    Taarifa inasema! Vibaka walivamia katika kata tatu huko chanika na kuathili nyumba 21 Ingawa haijajulikani rasmi idadi halisi ya vibaka hao lakini haiondoi ukweli kwamba kuna uzembe katika mfumo wa ulinzi. Tukiaachana na intelijensia ya kushindwa kuwabaini hao vibaka mapema! Inashangaza kuona...
  16. Kampeni ya Mguu kwa Mguu iliyofanyika Kawe ni fedheha kwa CHADEMA, kwani imekosa mvuto kwa wananchi

    Jana nikiwa katika shughuli zangu za kila siku katika baadhi ya mitaa ya Jimbo la Kawe, nilibahatika kuona viongozi wa CHADEMA wakipita katika baadhi ya mitaa ya Jimbo la Kawe wakiendesha kampeni yao ambayo wameipa jina la Mguu kwa Mguu lengo likiwa ni kuwatembelea wananchi na kwahamasisha...
  17. S

    Kuwavalisha sare za shule matabibu Ni fedheha kubwa mno.

    Swala la kuwavalisha matabibu sare za shule Kama wanafunzi wa sekondari Ni fedheha kubwa mno Inawashushua heshima pia hata mgonjwa anakuwa hayupo comfortable kuguswa na mtu aliyevaa sare za sekondari Angalau libuniwe vazi lingine la tofauti kabisa na sare za sekondari Kama sare za watu...
  18. M

    TANROADS mnatufedhehesha Watanzania

    TANROADS kwa maaana ya Wakala wa Barabara Nchini Tanzania kwa hakika mmefanya kazi kubwa sana ya Ujenzi wa Barabara, Madaraja na sasa mnajenga Flyovers katika maeneo kadhaa. Lakini pamoja na juhudi zenu kubwa kuna maeneo matatu ambayo mnatufedhehesha kwa kiasi kikubwa. 1. Mmejenga Daraja la...
  19. Kwanini kupata mtoto mwenye ulemavu wa akili, viungo, kipofu, bubu, kiziwi, n.k ni aibu na fedheha kwa wazazi wengi?

    Nasema hivi maana mambo ya aibu ndio huwa tuanakazania kuyaficha na ndivyo ilivyo kwa wazazi wenye hawa watoto huwa hawapendi watoto wao wenye ulemavu kujulikana ni watoto wao, wanawafungia majumbani huku wakijificha nyuma ya kivuli cha kuwalinda. yani mtoto anachukuliwa kama mzigo flani hivi...
  20. M

    Serikali iwaondoe wahudumu ombaomba Airport, ni fedheha kwa nchi

    WanaJamvi kuna jambo linanikera sana hii Airport ya JKNIA, jambo la wenyewe ni kujaa kwa wahudumu ombaomba. Nimebahatika kusafiri mara mbilitatu kwenda Mbeya na Mwanza kupitia hii Airport. Serikali iangalie wahudumu walioko ndani pale mtu unapopangiwa seat ya ndege wanaombaomba sana mara...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…