Feisal 'Fei Toto' Salum - Azam FC
Katika dirisha la usajili la kiangazi Julai 2024, Fei Toto alihusishwa na klabu kubwa Afrika kama Mamelodi Sundowns na Kaizer Chiefs kutoka Afrika Kusini, Wydad Athletic Club ya Morocco, pamoja na Simba SC. Hata hivyo, dau lake la TSh bilioni 5.1 (kwa mujibu...
Mdau wa michezo, Mwigulu Nchemba ambaye pia ni Waziri wa Fedha, ameeleza matamanio yake ya kuona kiungo wa Azam FC na timu ya Taifa ya Tanzania "Taifa Stars", Feisal Salum (Fei Toto) akiichezea klabu ya Singida Big Stars baada ya kuvitumikia vilabu vya Yanga, Azam na Simba.
"Mwanangu buana...
Kelele zote zile kumbe haji kwetu kaenda Azam! Kweli sisi simba ni mambumbumbu, kwa namna tulivyokuwa tumeshupaza shingo nikajua Mwamedi kavunja kibubu kumbe hola. Nimeumia sana sisi kuonesha jinsi tulivyo mipang'ang'a
Simba
Guvu moya