felchesmi mramba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    Swali moja tu kwa Felchesmi Mramba wa Nishati; huo umeme wa Ethiopia anaosema leo ni bei nafuu, mkataba unawazuia Ethiopia kupandisha bei milele?

    Bado tuna majibu mepesi mepesi na ya kisiasa kuhusu suala la kununua umeme toka Ethiopia. Kwanza tuliwauliza kama sisi tuna transmission losses kubwa kupeleka umeme mikoa ya kaskazini, Ethiopia hawana? Mkajibu kuwa kununua umeme ni sehemu ya kuimarisha usalama wa power supply nchini -...
  2. Mindyou

    Katibu Wizara ya Nishati Felchesmi Mramba: Umeme unaokuja kutoka Ethiopia utakuwa na hasara lakini hiyo hasara haituhusu

    Wakuu, Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Felchesmi Mramba amesema uamuzi wa Tanzania kuchukua umeme Ethiopia ni kitu chenye faida na si hasara kama watu wanavyodhani. Mramba amesema ni faida kwa kuwa baadhi ya vyanzo vya umeme hapa nchini vinazalisha uniti moja kwa bei kubwa kuliko bei ambayo...
  3. The Sheriff

    Katibu Mkuu Wizara ya Nishati, Felchesmi Mramba: Kupikia kwa umeme ni gharama nafuu kuliko vyanzo vingine vya nishati

    Katibu Mkuu Wizara ya Nishati Mhandisi Felchesmi Mramba amesema hayo akizungumza leo Jumatano Agosti 7, 2024 alipotembelea banda la Wakala wa Nishati Vijijini (REA) lililopo katika maonesho ya Nanenane Nzuguni Jijini Dodoma. “Wakati mwingine tunatumia umeme kuwasha taa, kuwasha TV, kuwasha...
  4. idoyo

    Mkurugenzi wa TANESCO Felchesmi Mramba: Tanzania kuuza umeme nje ya nchi mwaka 2016

    Tanzania inakusudia kuzalisha umeme wa kutosheleza mahitaji ya Watanzania wote na ziada kwa ajili ya kuunza nje ya nchi ifikapo mwaka 2016. Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Umeme nchini (Tanesco), Felchesmi Mramba, aliyasema hayo wakati wa Mkutano Mkuu wa Baraza la Wafanyakazi wa shirika hilo...
Back
Top Bottom