Tanzania inakusudia kuzalisha umeme wa kutosheleza mahitaji ya Watanzania wote na ziada kwa ajili ya kuunza nje ya nchi ifikapo mwaka 2016.
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Umeme nchini (Tanesco), Felchesmi Mramba, aliyasema hayo wakati wa Mkutano Mkuu wa Baraza la Wafanyakazi wa shirika hilo...