feleshi

Professor Eliezer Mbuki Feleshi is the current Attorney General of Tanzania and is the 10th Attorney General of Tanzania since the country's independence in 1961. He was appointed as the new Attorney General following the Suluhu Cabinet reshuffle in September 2021. Before being the Attorney General, Dr Feleshi was the principal judge of the High Court of Tanzania since 2018.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    Wanasheria nguli nauliza: Feleshi ana sifa za kuwa Justice of Appeal?

    Mwenye fununu za sifa za kuwa Judge wa Mahakama ya Rufaa anisaidie kujua kama Feleshi kama ana professional qualifications /anastahili au ni zawadi kutoka kwa mama. Sijwahi ona HUKUMU ya Feleshi kutoka High Court of Tanzania katika tafiti zangu ( I MIGHT BE WRONG AND NOT INFORMED) Anakwenda...
  2. Duru: Feleshi ndiye CJ ajaye

    '".... Profesa amekuwa akiomba mda mrefu apumzike lakini Boss lady alikuwa akikuna kichwa amweke nani pale. Sasa yeye na watu wake wa sheria naona waliamua wamwondoe kuwa AG na wamrejeshe Mahakama ili baadae kidogo amteua kuwa CJ." Duru ndani ya corridor za white house.
  3. N

    Nilijua tu Mwabukusi lazima amtoe Feleshi

    Pamoja na kuwa ni promotion, Jaji Feleshi alikuwa anatumia nguvu kubwa sana kuhakikisha Mwambukusi hashindi TLS - Wapi sasa? Nilijua mama hatamwacha hivi hivi. Sio mbaya lakini! hebu tumwone Hamza kama atafaa pale!
  4. Kupoteza Kesi ya Madini ya Nikeli Kunagharimu Taifa dola milioni moja kila mwezi

    Mahakama ya Benki ya Dunia imetupilia mbali sababu nyingi za Tanzania za kubatilisha tuzo ya dola milioni 119 (zaidi ya TZS 309 bilioni) kwa mchimba madini wa nikeli kutoka Australia. lakini uamuzi wa Mwanasheria Mkuu wa Tanzania Eliezer Feleshi kuendelea kutaka kufutwa kwa tuzo hiyo katika...
  5. L

    Dr Feleshi umewalenga wanasiasa, Prof Juma Mahakamani ni kuchafu zaidi

    Dr, Feleshi jana umenifurahisha sana sana sana sana sana. Yaani umeeleza ukweli kabisa mbele ya Mh. Rais kuwa Makonda anachofanya sio utawala wa kisheria. Kuna clip Makonda anatrend ile mbaya yaani ana-cross-examine Mwanasheria mbela ya wanaCCM wenzake (sio wananchi wale bali wanaCCM wenzake)...
  6. Mwanasheria Mkuu Feleshi unaitia aibu Serikali na wananchi, umeshindwa kutetea nchi unawatafuta vidagaa kujiridhisha

    Mwanasheria Mkuu wa Serikali Ndugu Feleshi ni mtu wa ajabu. Kwanza ana historia ya ufisadi (suala la Plea Bargaining hatujapata jibu). Pili, ameshindwa kuitetea serikali au kushauri invyotakikna katika sula la mkataba wa DP World na serikali. Mpaka sasa hajatoa kauli ya kueleweka kwa nini...
  7. Profesa Shivji: Mkataba wa Bandari unaegamia zaidi upande mmoja na hauna ukomo wa muda. Hauwezi kuvunjwa kwa sababu zozote zile

    Mkataba huu (wa bandari) unaegemea zaidi upande mmoja na pia hauna ukomo wa muda. Wajibu wote ni wajibu wa serikali ya Tanzania lakini haki zote ni haki za DP WORLD Mkataba huu (wa uendelezaji wa bandari) ni mkataba kati ya nchi na nchi kuhusu uwekezaji, na mkataba unasema ni kuhusu...
  8. Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Feleshi, anapotosha Taifa, ukweli ni kwamba mkataba wa DP World unaongelea uuzwaji wa Bandari

    Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Feleshi, anasema kuwa katika Mkataba wa awali kati ya Tanzania na Dubai "hakuna kipengele kinachosema kuwa Dubai imeuziwa Bandari za Tanzania." Kisheria, kauli hii sio kweli hata kidogo. Hivyo, napenda kujenga hoja ya kuonyesha kwamba, katika Mkataba wa awali...
  9. Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Feleshi anasubiri nini ofisini? Yeye ndiye mshauri mkuu wa serikali katika mambo ya sheria! Suala la bandari limuondoe!

    Nashangaa Feleshi bado Yuko katika nafasi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali, aondoke, ameshindwa kuishauri serikali kuhusu mkataba wa Bandari. Mama Samia, Anza na huyo, fukuza.
  10. M

    Feleshi, tutajie Mkataba wa Serikali iliyosaini bila ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali kushirikishwa

    Nimesikiliza Hotuba ya Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan akieleza ni marufuku kuanzia sasa mikataba kusainiwa bila idhini ya Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali. Mhe Rais amesema hayo baada ya kulalamikiwa na Mwanasheria Mkuu wa Serikali kuwa kuna mikataba Serikali inaingia bila kumshirikisha AG...
  11. Dkt. Eliezer Feleshi awataka mawakili wa Serikali kujitathimini

    Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya Tanzania (AG), Dk Eliezer Feleshi amewataka mawakili wa Serikali kujitathimini kama wanaendana na dhima na kujitosheleza kwa nafasi walizopewa. Dk Felishi amesema hayo leo Jumatano, Septemba 28, 2022 wakati akifungua mkutano wa mawakili wa Serikali ulioandaliwa na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…