feminists

  1. Robert Heriel Mtibeli

    Feminists wengi Wanafanana kwa sifa hizi tatu

    Mpo Salama Kabisa! Huwezi kuta Msichana Mrembo, mwenye Haiba ya kike akawa Feminist. Huwezi kuta. Yaani umkute mwanamke mwenye shape lake alafu feminist utasubiri Sana. Au umkute mwanamke mwenye Sura ya kike tipikali awe Feminist. Utasubiri Sana. Huwezi Kuta Mwanamke aliyelelewa na Baba na...
  2. G

    Hawa ndiyo wanawake wa kuoa sasa. Wanawake ambao hawajaathiriwa na feminists, wako wengi mikoani

    Nenda vijiji vya mikoa ya Mwanza, Shinyanga, Simiyu, Geita, Mbeya, Ruvuma, Rukwa na Katavi utakutana na wanawake waliolelewa na wakaleleka. Kila mwanaume kwao ni kama mfalme. Hawathubutu kamwe, huona soni na hivyo kutoka ndani mioyoni mwao huonesha heshima ya hali ya juu sana kwa kupiga magoti...
  3. J

    Dr. Chris Mauki vs Kataa Ndoa 2: Feminists wanachangia kwa kiasi kikubwa watu kukataa ndoa. Kwa bahati mbaya sana asili haitakaa ibadilike!

    JamiiForums ilipata wasaa wa kuongea na Dr. Chris Mauki, Mtaalamu wa Saikolojia, Ndoa na Mahusiano, Malezi na Mhadhiri kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam juu ya suala hili la Kataa Ndoa, mjadala ambao umekuwa mkali sana hasa kwa vijana wa zama hizi. Kusoma sehemu ya kwanza ya mahojiano haya...
  4. P h a r a o h

    Chanzo cha ongezeko la Kataa Ndoa, feminists wanaharibu kizazi kijacho

    Mafeminists wanawaharibu wanawake kisaikolojia, wanawaaminisha wao ni sawa na wanaume, Kitu ambacho hakiwezekani na hawakuumbwa wawe sawa na wanaume, Kwanza... Mwanammke ameumbiwa utii, hana physical power, yaani mfano hata kazi ngumu au vitu vigumu vitamshinda... Na tofauti nyingine nyingi...
Back
Top Bottom