Wadau nahitaji kupanda miti kuzunguka eneo langu, Nahitaji miti inayokwenda juu mfano Miashoki (isiwe ya kitambaa na kuhitaji pruning ya mara kwa mara).
Nimewaza kununia mihashoki lakini sijui kama inawahi sana kurefuka. Hivo naomba kama kuna mtu ana experience na speed ya ukuaji wa miashoki...