Ferré Gola (born March 1976), also Ferre Gola, whose full name is Hervé Gola Bataringe, is a musician, singer, and songwriter from the Democratic Republic of the Congo (DRC). He was a member of legendary Congolese bands, Wenge Musica, Wenge Musica Maison Mère and Quartier Latin International. With his exceptional vocal prowess, stage presence, and compelling compositions, he has solidified his position as one of the leading figures in the contemporary Congolese music industry.
Kwa wale wapenzi na mashabiki wa Ferre Gola Le padre, aliyebarikiwa sauti nzuri na kipaji kikubwa cha kuimba mziki mzuri wa Rhumba kutoka DRC CONGO. Masaa 22 yaliyopita kutoka kwenye akaunti yake ya youtube, ameachia nyimbo nzuri inayoitwa plus jamais seuls.
Inayozungumzia vita...
Siku ya leo nimeamka na mzuka wa rhumba sasa katika pitia pitia za wasanii wakongo nikapitia album hii mpya ya ferre gola iitwayo Dynastie ii vol. 1 aliyotoa mwaka huu mwezi oktoba.
Aisee ferre gola anajua balaa sio kwa hii mikwaju iliyohumu kama huu wa Visas ni balaah.
Kuna hizi ngoma kali mbili za hawa miamba kutoka Congo Associe ya Fally Ipupa na 100 kilos ya Ferre Gola.
Mbivu na mbichi itajulikana. Ni ngoma ya mkali gani imenyooka vizuri upande wako kati ya
Associé - Fall Ipupa
[Intro]
Assoc, associé
L'empereur Tchatcho Mbala Kashogi
Ba diamants ebele...
Kwenye muziki wa kisasa wa Rhumba hasa kutoka DRC Kuna wanamuziki wawili wanaoshindana kwa ukaribu sana. Je nani kati Yao ni mkali kwa mtazamo wako kati ya Fally Ipupa na Ferre Gola?
Hapa nitataja baadhi ya nyimbo zao ambazo ukiweza kuzisikiliza zinaweza kukupa mwanga wa kuamua kwenye hili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.