A ferry is a ship, watercraft or amphibious vehicle used to carry passengers, and sometimes vehicles and cargo, across a body of water. A small passenger ferry with many stops, such as in Venice, Italy, is sometimes called a water bus or water taxi.
Ferries form a part of the public transport systems of many waterside cities and islands, allowing direct transit between points at a capital cost much lower than bridges or tunnels. Ship connections of much larger distances (such as over long distances in water bodies like the Mediterranean Sea) may also be called ferry services, and many carry vehicles.
Kituo cha Bajaj Ferry hapa Dar es Salaam, zile Bajaj zinazoelekea Kibada, Kisiwani n.k. wahusika wamekuwa na kawaida ya upandishaji holela wa nauli.
Nauli inajulikana ni shilingi mia saba lakini wiki kadhaa zilizopita ilipanda ghafla na kuwa Shilingi 1,000 mpaka 1,500 kwa abiria wanaoelekea...
Mimi ni tourist from Kenya. I recently visited Dar es Salaam. Na nilivyokuwa Dar nilipanda ferry kuelekea Kigamboni.. and back.. On my way back to the other side a certain askari hapo tu ferry akaniita ati nimwonyeshe simu yangu my gallery eti nimepiga picha ilhali sijapiga picha kabisa...
Anonymous
Thread
dar
dar es salaam
ferry
from
kenya
kigamboni
kuelekea
mimi
recently
Kwa siku za hivi karibuni kivuko hiki kimekuwa ni changamoto kubwa. Kwa sasa wananchi wengi walio na haraka kuelekea kazini wanalazimika kutumia bodaboda kupitia Daraja la Nyerere ambayo hii ni gharama kubwa sana ukizingatia kipato cha mtanzania.
Hili ni suala ambalo limeendelea kuwafanya...
Kulingana na matukio ambayo yameanza kujitokeza ya uhalifu nazishauri Mamlaka sasa ziwezeshe vifaa vya utambuzi kama Camera kwenye maeneo ya kuingilia kigamboni kwa maana ya Ferry na Daraja la Mwalimu Nyerere ili kwa kiasi kudhibiti matukio ambayo yameanza kujitokeza hasa ukizingatia kuwa...
Hamna hata salamu,
Hili eneo ni chafu. Lipo karibu na ikulu na maofisi makubwa.
Idara inayohusika na usafi wa mazingira ya bahari na nchi kavu huwa wakienda ofisini kazi yao ni ipi?
Na sisi wananchi, hivi ni mpaka kampeninya usafi ifanywe ndio tujue umuhimu wa usafi?
Hebu tubadilike.
Watu...
Viwanja vinauzwa Mbutu Kigamboni vimebaki viwanja 7 tu kwenye mradi.
Ni mbutu mbele ya dege eco village uelekeo wa baharini(mita 400) kutoka baharini).
Viko barabarani barabara iendayo kichangani.
Ni km 22 tu kutoka ferry.
Bei ni shilling elfu 25 kwa square meter.
The Minister of Construction, Innocent Bashungwa, has reassured the residents of Dar es Salaam who use the ferry services in the Kigamboni-Magogoni area, addressing concerns about the services provided by the Agency of Technical and Electrical Services (TEMESA). He stated that the fears were...
Kuna wadada wapo kituo cha Azam Kilimanjaro pale Ferry ya kwenda Zanzibar wanakupokea na kukuambia tunakukatia ticket hivyo naomba kitambilisho chako.
Ukiwapa, wanakusajilia line ya AzamPesa, ni wizi wa Taarifa Binafsi na Ulaghai. Mwisho wanakupeleka dirishani ukatiwe tiketi ila sasa unakuta...
WanaJF wa kigamboni
Naomba niwape mkasa ulionipata najua BUTCHER nyinyi za nyama wanaiba mwingine karibia 50gm, 100gm, hata 200gm. Kwa KIGAMBONI FERRY kuna Butcher kama 4 au 5 kama sijakosea.
Katika butcher hizo nimewai kununua kwenye butcher 2 na zote nimeibiwa.
BUTCHER ya kwanza nilienda...
Habari waungwana,
Mimi ni mjasiriamali kutoka ferry. Ndugu zangu maisha hadi sasa hivi yanapoelekea sipo, soko la samaki ila wanakataa tusiuze samaki. Yeyote atakae soma ujumbe huu naomba u share ili kila mtu aone ili tupate msaada.
Tunanyanyaswa watanzania na tumekuwa kama wakimbizi.
Nianze kwa kusema kuwa inawezekana matumizi sahihi ya tiketi zinazotumika katika Kivuko cha Busisi - Kigongo Ferry Mkoani Mwanza hayapo sawa au kuna watu wachache wanatengeneza mazingira ya kukosekana kwa usawa.
Kwanza kabisa Hakuna utaratibu wa ku scan tiketi kama ilivyokuwa zamani, wakati wa...
Kama ni kukosa ubunifu basi ni kuendelea kuwa na bajaji za Ferry- K/Koo. Kwanza tuna usafiri wa uhakika wa Mabasi yaendayo kasi DART yanayofika sehemu zote za K/Koo. Kuna haja gani ya kuwa na utitiri wa bajaji zinazoongeza msongamano, vurugu, kelele katika barabara ya Samora na Uhuru?
Hizo...
Kuna kitu kinanishangaza kwenye utaratibu unaotumika kushusha na kupakia abiria na vyombo vya usafiri pale kivukoni feli.
Napenda utaratibu unaotumika wa kuanza kupakia magari kwanza na vyombo vingine vya usafiri kama baiskeli na pikipiki.
Lakini shida yangu linapokuja swala la kushusha hapa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.