HUYU NDIYE MMOJA WA WABUNGE MZIGO. ANAPEWA KIMEMO NA MAFISADI WAKIONGOZWA NA KENANI KIHONGOZI KWA UJIRA WA 1M NYONGEZA YA POSHO YAKE YA SIKU, ANAFYATUKA BILA KUSHUGHULISHA KICHWA CHAKE KWA KUFANYA UTAFITI MDOGO TU NDIPO APANUE DOMO LAKE KUSEMA
Mtu ‘anayejiita mbunge’ anasema Serikali ya CCM...
Hata Ole Sosopi wa CHADEMA, anamkubali Sana Festo Kiswaga. Safari hii Tunaomba Halmashauri Kuu ya Chama ngazi ya Wilaya, Mkoa, Taifa na Kamati Kuu ya CCM msifanye makosa kutuletea mtu mwingine.
Sisi tunataka Festo Kiswaga ndiyo Chaguo Nambari One kwa Jimbo la Isimani.
Asanteni
Pia soma:TANZIA...
Mkuu wa Wilaya ya Monduli, Festo Kiswaga, ametangaza rasmi nia yake ya kugombea ubunge katika Jimbo la Isimani, mkoani Iringa, katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025.
Akizungumza na waandishi wa habari katika ukumbi wa Lumilo Hotel, Manispaa ya Iringa, Kiswaga amesema kuwa uamuzi huo umetokana na...