festo sanga

Festo Richard Sanga is a Tanzanian politician who serves as a Member of Parliament representing Makete Constituency in the Parliament of Tanzania. He was elected on 28 October 2020. He is a member of Chama Cha Mapinduzi political party. He serves as a member of the Administration and Local Government Affair Committee in the Parliament of Tanzania.

View More On Wikipedia.org
  1. LGE2024 Njombe: Mbunge wa Makete Festo Sanga apiga kura kuchagua Mwenyekiti wa Kijiji

    Zoezi la kupiga kura kuchagua Viongozi wa Serikali za Mitaa limefunguliwa rasmi leo Novemba 27, 2024 kuanzia saa 2:00 asubuhi ambapo Mbunge wa Jimbo la Makete, Njombe Mhe. Festo Sanga ni mmoja kati ya wananchi waliotimiza haki yao kikatiba kwa kupiga kura ya kumchagua Mwenyekiti wa Kijijini cha...
  2. LGE2024 Mbunge Festo Sanga ashiriki katika upigaji kura wa Serikali za Mitaa, Kijiji cha Bulongwa

    Mbunge wa Makete (CCM), Festo Sanga ni mmoja kati ya Wabunge ambao wamejitokeza kupiga kura katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaofanyika leo Novemba 27, 2024 katika Mikoa yote Nchini. Sanga amepiga kura katika Jimboni la Makete, Kijiji cha Bulongwa - Kitongoji cha Amani.
  3. Mbunge Festo Sanga: Serikali isitishe Usajili Laini za Simu kiholela Mitaani

    Serikali ya Tanzania imezungumzia suala la utapeli mitandaoni kwamba Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) inaendelea kudhibiti usajili wa laini za simu kwa umakini mkubwa. Kauli hiyo imetolewa leo Jumatatu Septemba 2, 2024 na Naibu Waziri wa Habari Mawasiliano na Teknolojia ya Habari...
  4. Pre GE2025 Mbunge Festo Sanga akimuonesha fundi ujuzi wake wa kupangilia tofali wakati wa ukaguzi wa ujenzi wa Kituo cha Afya Makete

    Wakuu, Naendelea kuwaletea vibweka vya viongozi wetu kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025. Yaani ni mwendo wa maigizo tu utafikiri sasa hivi serikali ipo kwenye igizo la Mbio za Ubunge 2025 Azam Tv :KEKLaugh: :KEKLaugh: :KEKLaugh: Kwahiyo lengo la picha hii nini? Kutuonesha umefika kukagua au una...
  5. Mbunge Festo Sanga: Tutumie fedha za Migodi kujenga na kuboresha viwanja

    Akichangia Hotuba ya Bunge la Bajeti ya Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, leo Mei 23, 2024, Mbunge wa Makete, Festo Sanga ameishauri Serikali kutumia fedha zinazotolewa na kampuni zinazojihusisha na uchimbaji migodi Nchini kwa ajili ya maendeleo ya jamii kutumika kujenga na kuboresha...
  6. Festo Sanga: TANESCO imezidiwa, 'Man Power' yao ni ndogo, ziwepo Taasisi 3 zinazosimamia suala la umeme

    Tunapozungumza leo, uwekezaji uliopo nchini wa viwanda na migodi (Mfano Mgodi wa Geita kwa siku moja unatumia umeme wa Mkoa mzima wa Njombe, huo ni mgodi mmoja tu je tuna migodi mingapi?, hapo hatujazungumzia Viwanda na matumizi binafsi).Vilevile namna serikali ilivyosambaza kwa ukubwa Umeme...
  7. Festo Sanga awalilia Watumishi Nchini, riba za Mabenki zinawaumiza

    Mbunge wa Makete Mh:Festo Sanga amepaza leo tar 14:02:2024 akichangia hoja ya Kamati ya Bajeti amepaza kilio chake kwa serikali namna mabenki nchini yanavyoumiza watumishi kwenye riba za mikopo. Sanga amesema " Uhai wa benki zetu nchini zinabebwa na Watumishi,lakini kiwango cha riba...
  8. Nimefukuzwa kwenye duka la Kene Beibure ili apishwe mbunge Festo Sanga kufanya shopping

    Shame on me. Juzi nilipata mwaliko na catalogue ya duka la KENE BEI BURE nikaona suti fulani na nguo fulani nzuri sana. Nikawapigia simu kwamba leo Ijumaa saa nne asubuhi nitaenda kulipia. Lèo nimeenda, saa nne kamili kuchukua mzigo wangu. Nikaingia kwenye shelves, nikachagua nguo nizitakazo...
  9. DC aingilia kati mgogoro wa Wananchi na Luhaga Mpina mkoani Morogoro

    MKUU wa Wilaya ya Morogoro,Rebeca Nsemwa,amejikuta akipokelewa na Mabango pamoja na vilio kutoka kwa wananchi wa Vijiji vya Dalla tarafa ya Bwakira na Mbwade tarafa ya Mvuha katika Halmashauri ya wilaya ya Morogoro wakishinikiza kurudishiwa ardhi yao ekari zaidi ya 1000 zinazodaiwa kuchukuliwa...
  10. B

    BAWACHA Jimbo la Kinondoni Yamjibu Mbunge Festo Sanga wa CCM

    Kauli ya Mbunge wa CCM Mh. Festo Sanga yapingwa vikali. BAWACHA yasisitiza kuwa CHADEMA inaongozwa na katiba hivyo mbunge wa CCM Mh. Festo Sanga atulie na kuacha propaganda katka kikao cha bunge kinachoendelea mjini Dodoma bali ajikite kujadili mambo ya maana kwa wananchi. Ndugu Festo Sanga...
  11. M

    Utata mkubwa wa Mwigulu kuhusu Tozo

    Waziri wa Fedha, Mwigulu Lameck Nchemba Madelu ametoa tamko bungeni Septemba 20 2022 na kutangaza rasmi kufuta tozo mbalimbali za miamala ya kielektoniki bila kueleza ni kikao gani cha kisheria kilichoruhusu mchakato huo wa kufutwa kwa mapato ambayo tayari yamekadiriwa kwenye bajeti ya Serikali...
  12. M

    Festo Sanga wewe ni mbunge mzuri sana usijiingize kwenye mambo ya Makamba yatakuchafua

    Mbunge wa Makete, Festo Sanga achana na mambo ya kushabikia mambo yasiyoeleweka ya Waziri wa Nishati, Januari Makamba yatakuharibia sifa uliyoanza kuijenga kwa wananchi wako. Jana wakati mjadala unaendelea kuhusu gharama za kuunganisha umeme, ulipost kwenye akaunti yako ya Instagram ukiituhumu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…