Jamani kwa aliyeshatoka kutumia hii huduma ya halotel fibre ipoje na ipo reliable?
Mm kwa sasa nakaa goba ila natumia hii router ya airtel 5g nalipia hii 30mbps kwa 110,000 na during peek hours yani haifai kabisa internet ni slow balaa yani mfano mm nafanyaga voice chat mara nyingi via discord...