Mfumo Mbovu wa Elimu: Kikwazo Kikuu kwa Maendeleo ya Tanzania
Elimu ndio kitovu cha maendeleo katika Nyanja zote za Maisha katika nchi na Maisha binafsi ya mtu, kwa bahati mbaya mfumo ambao husimamia ubora wa elimu unasahau kuwa hatuwezi kuwa na kizazi chenye udadisi, ubunifu na uongozi bora...