Kama ni kweli makomandoo walizuia wazee walioambatana na mbuzi kuingia uwanjani....
Kama kweli polisi walishindwa kuwadhibiti makomandoo....
Kama kweli hakuna tukio lililoripotiwa polisi kuhusu sakata hili ....
Bila shaka Yanga inapaswa kuweka msimamo imara dhidi ya uhuni kwenye soka
Zaidi ya fedha Bilioni 2.4 zinatolewa kwa Kaya 435 za Wilaya ya Tanganyika, Mkoa wa Katavi kwa ajili ya kupisha ujenzi wa barabara ya kiwango cha lami yenye urefu wa Kilometa 112 kutoka Kijiji cha Kagwira hadi Bandari ya Karema.
Ujenzi wa barabara hiyo ya lami unatajwa kuwa kichochea cha...
Dereva Mtanzania Juma Ally Maganga (45) anayeshikiliwa na Jeshi la Polisi katika Mji wa Juba tangu Februari 14, 2025 kwa tuhuma za kugonga na kusababisha kifo cha Mtu, imeelezwa familia ya aliyefariki imetoa maelekezo ya kudai fidia ili Juma aachiwe.
JamiiForums imewasiliana na Mmiliki wa...
Rais Samia Suluhu Hassan amemuagiza Waziri wa Utalii aone uwezekano wa kupitia Kanuni za Fidia kwa wanaothiriwa na Wanyama kuvamia mashamba, wakati huohuo amesisitiza Serikali inaendelea kutafuta mbinu mbalimbali za kuwazuia Wanyama kufanya uharibifu huo.
Ameyasema hayo leo Februari 24, 2025...
Habari za jioni ndugu na marafiki,
Poleni sana kwa wote mnao endelea kuathirika na ajali zinazo endelea kutokea barabarani.
Hili jambo limelilazimu kukaa chini namimi nitoe mapendekezo yangu ili tuweze kutokomeza ajali zinazo endelea kumaliza ndugu na marafiki zetu.
Lakini kabla ya yote...
Kama unakumbuka sakata la Oktoba 25, 2023 la kukamatwa Makontena yenye jezi feki za klabu za Simba, Yanga, Azam na Timu ya taifa zilizoingia kimagendo nchini.
Wanahabari walikurupushwa usiku wakati wa ukamataji makontena hayo huku Afisa Habari wa Klabu ya Yanga Ally Kamwe akiwa mstari wa mbele...
Kwa wataalamu wa historia, sayansi ya jamii, na uchumi, umaskini na kubakia nyuma kwa Afrika ni matokeo ya ukoloni uwe wa kisiasa au kiimani au kiutamaduni kama siyo kijamii.
Kupitia jinai hii, nchi za magharibi na za mashariki ya kati ziliingiza dini na kutuibia mali nyingi huku zikiharibu na...
Watanzania wengi hawapendi kujua ukweli. Nadhani hulka hii inatokana na wananchi kufungiwa nchini mwao na hivyo kukosa nafasi ya kuona jinsi nchi zingine zilivyoendelea.
Kuna siku Lema alisema bodaboda sio ajira, watu walikuja juu na kusema kuwa kawakosea watu na ni kama anadharau ajira za...
Uongozi wa Wilaya umetoa maelezo kuhusu madai ya kuwepo kwa Wananchi ambao hawajalipwa fidia ya kuhama katika Bonde la Mto Ruhila ambapo wametakiwa kuhama ili kupisha sehemu hiyo ya hifadhi.
Mdau wa JamiiForums alidai Wananchi wanaendelea kutumia bonde hilo kwa shughuli za kibinadamu kama vile...
RAIS MWINYI: KILA MWANANCHI KULIPWA FIDIA ANAYOSTAHILI.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amewahakikishia Wananchi kuwa Serikali itamlipa kila Mwananchi haki yake na hakuna Mwananchi atakae sononeka kwa Kukosa fidia.
Rais Dk.Mwinyi ametoa agizo la...
Ni wazi kuwa Mbowe alilipwa pesa nyingi inayotajwa kuwa ni fidia ya yeye kukaa gerezani kwa kesi ya kusingiziwa, na pia kwa kuharibiwa biashara zake.
Lakini kwa nafasi yake kama kiongozi wa chama kikuu cha upinzani, na kwaajili ya kuleta uwazi katika uongozi, na kuzuia fikra za pesa hiyo...
Habari zenu wadau!, nahitaji ufafanuzi kidogo hapa, nilikuwa na Girlfriend wangu ambaye alipata ujauzito na kuniambia kwamba ni ujauzito wangu. Tangu hapo niliamua kwa upendo tu kumhudumia katika kipindi chote cha ujauzito hadi alipojifungua. Japo sikuwa naishi nae lakini nilimpatia mahitaji...
Wakuu
Kampuni ya Kisheria inayomsimamia Mfanyabiashara Sandaland the Only One ambaye ndie Mtengenezaji wa jezi za SIMBA imemtumia barua Meneja wa Habari wa Yanga, Ally Kamwe ikidai fidia ya BILLION TATU kutokana na kauli za kumchafua Mteja wao na imepelekea kuathiri biashara zake.
Wanadai...
Bado tunaendelea kupigwa kwenye kesi za fidia na makampuni ya kigeni.. Tunalipa mabilioni ya shilingi na mabilion ya dola kwa makosa ya watu wachache tuu.. Mostly kutoka chama chawala
Hakuna hata kesi moja tuliwahi kushinda..
Mikataba tuliyosaini kimagumashi inatutesa sasa.. Waliosaini kwa niaba...
HALMASHAURI MKIPIMA VIWANJA ‘ROAD RESERVE’ HATULIPI FIDIA: BASHUNGWA
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amesema kuwa Serikali haitalipa fidia kwa wananchi ambao wamepimiwa viwanja na Halmashauri katika maeneo ya Hifadhi za Barabara zilizowekwa kwa mujibu wa Sheria kwa ajili ya kuendeleza...
Mimi ni Mkazi wa Kaskazini Unguja, huku kwetu baadhi ya Watu ambao maeneo yetu yalichukuliwa kwa ajili ya uwekezaji wa Bandari ya Mafuta na Gesi hatujapata fidia.
Hadi kufikia leo hii Oktoba 2024, inatimia Miaka miwili hatujafidiwa licha ya kuwa maeneo yetu yalikuwa na uwekezaji wa mazao na...
Katika hali inayoonekana kama njia ya kupunguza na kuondoa taharuki huko mashariki ya kati, serikali ya Marekani imesema ipo tayari kulipa fidia kutokana na madhara ya mashambulizi ya makombora kutoka Iran wiki iliyopita!
On Sunday, Israeli TV channel Kan11 claimed that Washington had offered...
Tumezoea miradi ya ujenzi wa barabara, majengo na viwanja mbalimbali, inapopelekwa mahali fulani na kukuta wananchi basi wananchi wanapewa fidia kwa uharibifu wa mali zao utakaosababishwa na ujenzi huo
Lakini naona hali hii ni kinyume kabisa inapokuja miradi mingine kama maji ma umeme. Naomba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.